TYMMOH DAIMER KUACHIA KIBAO KIPYA
Msanii mwenye tungo tata tokea 002 (kwale county) siku tatu zilizo pita ame step in nakuachi kionjo cha Wimbo wake mpya huku aki captions " COOMING SOON '' huenda ikawa ni ujio wa debe jipya baada ya kimya cha miezi mitatu